Swahili - Surah Al-A'la ( The Most High ) | المكتبة الإسلامية صدقة جارية عن المغفور لهم بإذن الله أحمد سليمان البراك وزوجته وابنائه سليمان ومحمد ويونس وابنته إيمان

,,

اللهم اجعل هذا العمل نافعاً لصاحبه يوم القيامة

ولمن ساهم وساعد بنشره

,,

Surah Al-A'la ( The Most High )

Swahili

Surah Al-A'la ( The Most High ) - Aya count 19
Facebook Twitter Google+ Pinterest Reddit StumbleUpon Linkedin Tumblr Google Bookmarks Email
سَبِّحِ اسْمَ رَبِّكَ الْأَعْلَى ( 1 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 1
Litakase jina la Mola wako Mlezi aliye juu kabisa,
الَّذِي خَلَقَ فَسَوَّىٰ ( 2 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 2
Aliye umba, na akaweka sawa,
وَالَّذِي قَدَّرَ فَهَدَىٰ ( 3 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 3
Na ambaye amekadiria na akaongoa,
وَالَّذِي أَخْرَجَ الْمَرْعَىٰ ( 4 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 4
Na aliye otesha malisho,
فَجَعَلَهُ غُثَاءً أَحْوَىٰ ( 5 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 5
Kisha akayafanya makavu, meusi.
سَنُقْرِئُكَ فَلَا تَنسَىٰ ( 6 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 6
Tutakusomesha wala hutasahau,
إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۚ إِنَّهُ يَعْلَمُ الْجَهْرَ وَمَا يَخْفَىٰ ( 7 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 7
Ila akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhaahiri na yaliyo fichikana.
وَنُيَسِّرُكَ لِلْيُسْرَىٰ ( 8 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 8
Na tutakusahilishia yawe mepesi.
فَذَكِّرْ إِن نَّفَعَتِ الذِّكْرَىٰ ( 9 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 9
Basi kumbusha, kama kukumbusha kunafaa.
سَيَذَّكَّرُ مَن يَخْشَىٰ ( 10 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 10
Atakumbuka mwenye kuogopa.
وَيَتَجَنَّبُهَا الْأَشْقَى ( 11 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 11
Na atajitenga mbali nayo mpotovu,
الَّذِي يَصْلَى النَّارَ الْكُبْرَىٰ ( 12 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 12
Ambaye atauingia Moto mkubwa.
ثُمَّ لَا يَمُوتُ فِيهَا وَلَا يَحْيَىٰ ( 13 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 13
Tena humo hatakufa wala hawi hai.
قَدْ أَفْلَحَ مَن تَزَكَّىٰ ( 14 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 14
Hakika amekwisha fanikiwa aliye jitakasa.
وَذَكَرَ اسْمَ رَبِّهِ فَصَلَّىٰ ( 15 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 15
Na akakumbuka jina la Mola wake Mlezi, na akasali.
بَلْ تُؤْثِرُونَ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا ( 16 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 16
Lakini nyinyi mnakhiari maisha ya dunia!
وَالْآخِرَةُ خَيْرٌ وَأَبْقَىٰ ( 17 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 17
Na Akhera ni bora na yenye kudumu zaidi.
إِنَّ هَٰذَا لَفِي الصُّحُفِ الْأُولَىٰ ( 18 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 18
Hakika haya yamo katika Vitabu vya mwanzo,
صُحُفِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ ( 19 ) Al-A'la ( The Most High ) - Aya 19
Vitabu vya Ibrahimu na Musa.
Facebook Twitter Google+ Pinterest Reddit StumbleUpon Linkedin Tumblr Google Bookmarks Email

Select language

Select surah