Swahili - Surah Al-'adiyat ( Those That Run ) | المكتبة الإسلامية صدقة جارية عن المغفور لهم بإذن الله أحمد سليمان البراك وزوجته وابنائه سليمان ومحمد ويونس وابنته إيمان

,,

اللهم اجعل هذا العمل نافعاً لصاحبه يوم القيامة

ولمن ساهم وساعد بنشره

,,

Surah Al-'adiyat ( Those That Run )

Swahili

Surah Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya count 11
Facebook Twitter Google+ Pinterest Reddit StumbleUpon Linkedin Tumblr Google Bookmarks Email
وَالْعَادِيَاتِ ضَبْحًا ( 1 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 1
Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumua,
فَالْمُورِيَاتِ قَدْحًا ( 2 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 2
Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini,
فَالْمُغِيرَاتِ صُبْحًا ( 3 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 3
Wakishambulia wakati wa asubuhi,
فَأَثَرْنَ بِهِ نَقْعًا ( 4 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 4
Huku wakitimua vumbi,
فَوَسَطْنَ بِهِ جَمْعًا ( 5 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 5
Na wakijitoma kati ya kundi,
إِنَّ الْإِنسَانَ لِرَبِّهِ لَكَنُودٌ ( 6 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 6
Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi!
وَإِنَّهُ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٌ ( 7 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 7
Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo!
وَإِنَّهُ لِحُبِّ الْخَيْرِ لَشَدِيدٌ ( 8 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 8
Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali!
أَفَلَا يَعْلَمُ إِذَا بُعْثِرَ مَا فِي الْقُبُورِ ( 9 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 9
Kwani hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburini?
وَحُصِّلَ مَا فِي الصُّدُورِ ( 10 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 10
Na yakakusanywa yaliomo vifuani?
إِنَّ رَبَّهُم بِهِمْ يَوْمَئِذٍ لَّخَبِيرٌ ( 11 ) Al-'adiyat ( Those That Run ) - Aya 11
Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote!
Facebook Twitter Google+ Pinterest Reddit StumbleUpon Linkedin Tumblr Google Bookmarks Email

Select language

Select surah